MAOMBI YA UPONYAJI
MAOMBI6/6/2026

MAOMBI YA UPONYAJI

Haya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako. "Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa." 1 Petro 2:24 Ubarikiwe sana.