Sisi ni Nani
Utambulisho wa Huduma ya Holy Spirit Connect Ministries
Makao Makuu: Dar es Salaam, Tanzania
Maono Yetu
Dhamira Yetu
Maana ya Utambulisho Wetu
Kila alama katika nembo yetu ina maana ya kiroho na kibiblia inayotambulisha huduma yetu.
Msalaba
Njiwa/Hua
Jua
Wayunga wa Nyumba ya Bwana
Kutana na Wachungaji Wetu

Ev. Innocent Morris
Ministry Founder & The Leading Pastor

Jastin Isaya
Ministry Chairman
Kamati Kuu ya Mtendaji
HSCM inaongozwa na mfumo wa kikatiba unaohakikisha uadilifu, uwazi, na uwajibikaji katika kila hatua ya huduma.
Kiongozi wa Huduma
Ev. Innocent Morris
Mchungaji Kiongozi na Mwanzilishi. Msimamizi wa kiroho na mlinzi wa maono ya huduma.
Mwenyekiti wa Huduma
Jastin Isaya
Mwenyekiti wa Huduma. Kiongozi wa utawala na msimamizi wa taratibu za uongozi wa shirika.
Ofisi za Utendaji
Utawala wa HSCM
Katibu Mkuu na Mhazini. Usimamizi wa utendaji wa kila siku na uwakili wa rasilimali za fedha.
* Kwa mujibu wa Ibara ya 6 ya Katiba ya HSCM (Toleo la 2023)
"Tunakukaribisha ujiunge nasi katika safari hii ya imani, uponyaji, na mabadiliko ya kweli."