KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI
Innocent Morris4/8/2026
Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake kwa uwazi, lakini wewe unaona ukimya?
Katika somo hili utajifunza sababu kuu zinazoweza kufanya Roho Mtakatifu aonekane kimya kwa watu wengi, pamoja na jinsi ya kurejesha mawasiliano ya karibu na uwepo wake.
Hili ni somo muhimu kwa kila Mkristo anayetamani kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu na kuongozwa na Roho wake kila siku.
Karibu sana ujifunze sasa.
Ubarikiwe sana.
Maandiko ya Rejea
01
1 Yohana 4:4
Je, umeamua kufuata Yesu leo?
Huu ni uamuzi muhimu zaidi maishani mwako. Tungependa kukuombea na kukusaidia katika hatua inayofuata.