JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU
Innocent Morris2/24/2026
Ikiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili.
Hakika somo hili litakusaidia sana kujua jinsi ya kujenga urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.
Chukua pen na notebook ujifunze sasa.
Ubarikiwe sana
Maandiko ya Rejea
01
1 Yohana 4:4
Umebarikiwa na ujumbe huu?
Ungana na jopo letu la maombi au toa sadaka kuendeleza huduma ya neno la Mungu.
Je, umeamua kufuata Yesu leo?
Huu ni uamuzi muhimu zaidi maishani mwako. Tungependa kukuombea na kukusaidia katika hatua inayofuata.