JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI

Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri. Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakosea na utajua namna ya kurekebisha makosa hayo. Hakika hili ni somo la baraka sana ambalo litakusaidia kukua kiroho. Sikiliza sasa somo hili.

Maandiko ya Rejea

01

Muhubiri 5:4-5

Umebarikiwa na ujumbe huu?

Ungana na jopo letu la maombi au toa sadaka kuendeleza huduma ya neno la Mungu.

Je, umeamua kufuata Yesu leo?

Huu ni uamuzi muhimu zaidi maishani mwako. Tungependa kukuombea na kukusaidia katika hatua inayofuata.

Huduma Hii

Submit Prayer Request