Ushuhuda wa Nguvu za Roho Mtakatifu
Matendo Makuu ya Mungu
"Na wao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao..."
— Ufunuo 12:11
Ushuhuda Wako ni Baraka
Shiriki Matendo makuu ya Mungu
Ushuhuda wako ni silaha ya ushindi na chombo cha kuimarisha imani ya wengine. Unaposhiriki kile Mungu amekutendea, unahuisha matumaini kwa walio katika mapito magumu.
"Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao..."
Ufunuo 12:11
Jiunge na mamia walioguswa
Andika Ushuhuda Wako
Jaza fomu hii kwa uaminifu. Utukufu ni wa Mungu pekee.