Maombi ya Nguvu

Maombi

Maombi ya nguvu kwa hali mbalimbali za maisha — yaliyoandikwa kwa Kiswahili na Kiingereza.Pia jifunze kupitia mafundisho yetu na usikilize mahubiri kuhusu maombi.Powerful prayers for different life situations, enriched with teachings and video sermons.

Ombi la Maombi

Haja za Moyo Wako
Haziko Peke Yake.

Tunani katika nguvu ya maombi ya pamoja. Timu yetu ya maombezi iko tayari kusimama nawe katika kila hitaji, kuanzia uponyaji hadi ufunguzi.(We believe in the power of corporate prayer. Our intercessory team is ready to stand with you in every need, from healing to breakthrough.)

Uponyaji

Kwa ajili ya afya na uzima.Healing & Restoration

Ushauri

Tunaweza kukuandikia.Counseling & Support

Je, unataka kuongea nasi moja kwa moja?

Piga: +255 652 796 450

Ombi la Maombi
Tunakuombea kwa siri au kwa kushirikiana na timu.(Submit your prayer request to our intercessory team.)

Jina lako litafichwa kwenye ukuta wa maombi

Pokea ujumbe mfupi wa uthibitisho na faraja kupitia WhatsApp.

Kwa kutuma ombi hili, unakubaliana na Sera ya Faragha ya HSCM.

Chagua Eneo la Maombi

Pata maombi yaliyoandaliwa kulingana na hitaji lako la kiroho au kimwili.

Neno la Uzima

Mafundisho ya Maombi

Jenga msingi wako wa maombi kwa kujifunza Neno la Mungu kuhusu maombi na kufunga.

Soma Mafundisho Yote

Siri ya Maombi Yaliyojibiwa

Maombi siyo tu kuongea na Mungu, bali ni kusimama kwenye ahadi zake kwa imani. Siri kubwa ya maombi yanayojibiwa ni kuomba kulingana na mapenzi ya Mungu na Neno lake. Jifunze jinsi ya kujiweka katika nafasi ya kupokea majibu yako.

Endelea Kusoma

Nguvu ya Maombi ya Pamoja

Tunapoungana pamoja katika maombi, tunatengeneza nguvu ya kiroho inayovunja kila nira. Maombi ya ushirika yana matokeo makubwa sana katika ulimwengu wa roho. Kusanyiko la waumini wakiomba lina uwezo wa kubadilisha majira na nyakati.

Endelea Kusoma

Kufunga: Kujiunganisha na Mungu

Kufunga ni kuunyima mwili ili kuipa roho nafasi ya kusikia sauti ya Mungu kwa uwazi zaidi. Ni silaha ya ushindi katika vita vya kiroho. Mungu huwapa neema wale wanaojinyenyekeza mbele zake kupitia kufunga na kuomba.

Endelea Kusoma
Video Mpya

Mahubiri ya Maombi

Sikiliza na utazame mahubiri yatakayoinua kiwango chako cha maombi.

Tembelea YouTube Yetu