Mwanzo Mpya

Prayer for Salvation

Huu ndio uamuzi muhimu zaidi katika maisha yako. Anza safari yako na Mungu leo.This is the most important decision of your life. Start your journey with God today.

Sala ya Toba / Salvation Prayer

Sema maneno haya kwa sauti na kwa imani: / Say these words aloud in faith:

“Bwana Yesu, ninakuja mbele zako. Ninakiri kwamba mimi ni mwenye dhambi. Ninaomba unisamehe dhambi zangu zote.”

“Ninaamini kwamba ulikufa msalabani kwa ajili yangu na ufufuka kwa ajili ya kuhesabiwa haki kwangu. Leo nakukaribisha moyoni mwangu.”

“Uwe Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Nifanye kuwa kiumbe kipya. Asante kwa kuniokoa. Amina.”


“Lord Jesus, I come before You. I confess that I am a sinner. Please forgive me for all my sins.”

“I believe You died on the cross for me and rose again for my justification. Today I welcome You into my heart.”

“Be the Lord and Savior of my life. Make me a new creation. Thank You for saving me. Amen.”

Nini kimetokea? / What just happened?

  • Umesamehewa (Forgiven): Mungu amezifuta dhambi zako zote. God has erased all your sins.
  • Umefanyika Mwana (Adopted): Sasa wewe ni mtoto wa Mungu (Yohana 1:12). You are now a child of God.
  • Kiumbe Kipya (New Creation): Ya kale yamepita, tazama yamekuwa mapya (2 Wakorintho 5:17). The old has gone, the new is here.

Umempokea Yesu Leo? / Did you accept Jesus?

Tunataka kukutumia mwongozo wa bure wa kuanza maisha mapya. / We want to send you a free guide to starting your new life.

Nitumie Mwongozo (WhatsApp)