JINSI YA KUSHINDA DHAMBI INAYOJIRUDIA
Innocent Morris2/21/2026
Kama unapitia changamoto ya kuanguka katika dhambi ile ile, na umeomba na kuahidi kuacha na bado umeendelea kuanguka katika dhambi hiyo hiyo. Basi karibu ujifunze katika somo hili nzuri.
Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua, namna ya kushinda dhambi inayorudia.
Mungu akubariki sana.
Ubarikiwe sana.
Maandiko ya Rejea
01
Warumi 6:14
Je, umeamua kufuata Yesu leo?
Huu ni uamuzi muhimu zaidi maishani mwako. Tungependa kukuombea na kukusaidia katika hatua inayofuata.